SARATANI HUSAMBAA KIDOGOKIDOGO MWILINI! UKISHTUKA IMEKUMALIZA! - RAHA ZA PWANI

Habari za Hivi Punde

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Monday, December 31, 2012

SARATANI HUSAMBAA KIDOGOKIDOGO MWILINI! UKISHTUKA IMEKUMALIZA!

Wafanyabiashara waliofukuzwa kwenye eneo la Ubungo miezi michache iliyopita wameanza kurejea kwa kasi sasa na hakuna hatua zozote zinazochukuliwa, wiki mbili zilizopita blog hii ilitoa picha za vijana wachache waliorejea lakini kasi imezidi kuongezeka. Wahusika kumbukeni kansa huanza kusambaa kidogo kidogo mwilini lakini pia hata M'buyu ulianza kama mchicha.
Kwenye eneo hili karibu na daraja na kituo cha daladala kama unaelekea mwenge maranyingine huwa shida kabisa kupita kutokana na wafanya biashara hao kuweka bidhaa zao kwenye barabara ya watembea kwa miguu na kusabibiosha usumbufu kwa watumiaji wa barabara hiyo.
Eneo la karibu na kituo cha mabasi yaenyo mikoani Ubungo Bus Terminal (UBT)

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here