MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR BALOZI SEIF ALI IDDI ATEMBELEA ENEO ALILOPIGWA RISASI PADRI MKENDA ZANZIBAR. - RAHA ZA PWANI

Habari za Hivi Punde

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Friday, December 28, 2012

MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR BALOZI SEIF ALI IDDI ATEMBELEA ENEO ALILOPIGWA RISASI PADRI MKENDA ZANZIBAR.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi  akiangalia gari ya  Paroko wa Parokia ya Mpendae Padre Ambrose Mkenda ambayo alikuwa akiendesha na kuvamiwa kwa risasi ya watu wasiojuilikana.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar akisikiliza maelezo kutoka kwa Uongozi wa Shule ya Francis Maria ya Tomondo Zanzibar ambako Padre Ambrose Mkenda wa Parokia ya Mpendae alijeruhiwa kwa risasi hivi karibuni.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akifuatana na Father Shayo wa Kanisa la Roman Katholic liliopo minara miwili baada kuwafariji na kutoa mkono wa pole  kwa uongozi wa huo kufuatia kujeruhiwa kwa Paroko wa Parokia ya Mpendae Padre Ambrose Mkenda.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here