Hiki ni choo cha muda cha kwanza cha shule ya msingi Lipangala
Ludewa mkoani Njombe kilichobomoka toka mwaka 2004
Shule ya msingi Lipangala Ludewa
Hiki ni choo cha kisasa ambacho kimejengwa sasa katika shule ya
Msingi Lipangala ambacho pia kimeanza kubomoka
Hiki kilikuwa ni choo cha
walimu miaka hiyo kwa sasa shimo jipya linachimbwa mbele ili
kurejesha huduma ya choo kwa walimu
Hii ndilo hali halisi ya choo hiki cha walimu shule ya Msingi
Lipangala Ludewa ,kwa sasa hakitumiki
No comments:
Post a Comment