SHEKILANGO SOKONI SACCOS LTD YAFANYA MKUTANO MKUU WA WAKAIDA . - RAHA ZA PWANI

Habari za Hivi Punde

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Friday, December 28, 2012

SHEKILANGO SOKONI SACCOS LTD YAFANYA MKUTANO MKUU WA WAKAIDA .

Makamu Mwenyekiti wa Saccos hiyo Andrew Jackson (kulia), akifungua mkutano huo na kuwatambulisha wageni waalikwa. Kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa Ubungo National Housing Coparation (NHC),  Athuman Mtono, Mtendaji Mkuu wa KMC, Omary Mkamba, Ofisa Ushirika wa Manispaa ya Kinondoni, Ramadhan Bukuku na Ofisa Ushirika Mkoa wa Dar es Salaam Philipo Emanuel.
Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye mkutano huo. Kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa Ubungo National Housing Coparation (NHC),  Athuman Mtono, Mtendaji Mkuu wa KMC, Omary Mkamba, Ofisa Ushirika wa Manispaa ya Kinondoni, Ramadhan Bukuku na Ofisa Ushirika Mkoa wa Dar es Salaam Philipo Emanuel.
Wanachama wa SACCOS hiyo wakipiga makofi wakati wa mkutano huo.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here