BALOZI SEIF AIPA POLE FAMILIA ILIOUNGULIWA NA MOTO NYUMBAYAO. - RAHA ZA PWANI

Habari za Hivi Punde

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Tuesday, January 22, 2013

BALOZI SEIF AIPA POLE FAMILIA ILIOUNGULIWA NA MOTO NYUMBAYAO.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiangalia baadhi ya sehemu zilizoathiriwa na moto ndani ya nyumba ya Familia ya Bibi Farida Abdulla iliyopo Mtaa wa Baghani Mjini Zanzibar.

Jirani wa  Bibi Farida Abdulla ambaye nyumbayake imeteketezwa na moto kwenye mtaa wa Baghani Mjini Zanzibar Bibi Salma Haroub aliyeshuhudia tukio hilo akimmwelezea Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi aliyefika eneo hilo kuifariji familia ya iliyopatwa na mkasa huo.


No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here