MAFUNZO YAMATUMIZI SALAMA YA BIOTEKNOLOJIA YATOLEWA JIJINI DAR LEO. - RAHA ZA PWANI

Habari za Hivi Punde

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Tuesday, January 22, 2013

MAFUNZO YAMATUMIZI SALAMA YA BIOTEKNOLOJIA YATOLEWA JIJINI DAR LEO.

Profsa wa Kitivo cha Sheria  Chuo kikuu Dar es Salaam Palamagamba Kibudi (kushoto) akiwaelezea jambo Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Charlzi Kitwanga (kulia), kabla ya Semina ya Kukuza Uelewa Juu ya Masuala ya Matumizi ya Bioteknolojia ya Kisasa wapili kulia Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Sazi Salula na Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu waRais Eng Ngosi Mwihava.
Profesa Kitivo cha Sheria chuo Kikuu Palamagamba Kibudi akitoa Mada ya Sheria ya Mazingira kwenye Semina ya Kukuza Uelewa Juu ya Masuala ya Matumizi Salama ya Bioteknolojia ya Kisasa kwa Uongozi wa Ofisi ya Makamu wa Rais Mtaa wa Luthuli Jiji Dar es Salaam.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassani akiuliza masuala mara baada ya kutolewa Mada Kuhusu Masuala ya Bioteknolojia ya kisasa kwa uongozi wa Ofisi ya Makamu wa Rais Kwenye Ukumbi wa Mikutano Jiji Dar es Salaam.
Dk Emmarold Mnemeya akitowa Mada ya Kukuza Uelewa juu ya Matumizi Salama ya Bioteknolojia ya Kisasa kwa Uongozi wa Ofisi ya Makamu wa Rais leo kwenye Ukumbi wa Mikutano Ofisi ya Makamu wa Rais JIji Dar es Salaam. Picha na Ali Meja

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here