Bondia
Iddy Mnyeke kulia akioneshana ubabe wa kutupiana masumbwi na Mussa
Sunga wakati wa mazoezi yanayoendelea katika kambi ya Ilala Dar es
salaam, Mnyeke anajiandaa na Mpambano wake dhidi ya Sadiki Momba
February 14 katika ukumbi wa Friends Conner, Manzese jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment