![]() |
Masasi. |
NEWALA nako wanajipanga rasmi Kumkataa
Mbunge wao.
MASASI
Vurugu zahamia wilaya ya Masasi mkoani
Mtwara Nyumba ya Mbunge wa Masasi nayo yateketezwa kwa Moto hivi
sasa...Madereva Bodaboda waandamana ...Vurugu zashamiri Mabomu Kibao..Hali ni
tete
![]() |
Kero no/1 miaka 50 haijaisha gesi Miezi 18 inatua Dar, halihalisi |
Habari ambazo hazijathibitishwa na
kamanda wa polisi mkoani hapa, Maria Nzuki zinadai kuwa majira ya saa 10 kasoro
za jioni watu wanaodaiwa kuwa ni wanajeshi wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ)
waliingilia kati na kuanza kutembeza mkong’oto kwa wananchi ili kuzima vuguvugu
hilo.
No comments:
Post a Comment