![]() |
Bibi Somoe Issa kushoto, kulia ni mwanidhsi wa habari wa info radio mjini Mtwara. |
Kikongwe Somoe Issa anayekadriwa kuwa na umri wa zaidi ya miaka 90 ambaye ni Mkuu wa Kaya ya Msimbati kijiji ambacho gesi asilia inavunwa, mkoani Mtwara aliionya Serikali kutoendelea na mpango wake wa kusafirisha gesi kwenda Dar es Salaam na kwamba iwapo itapinga bomba hilo litasafirisha maji badala ya gesi.
No comments:
Post a Comment