DK.SHEIN AKUTANA NA WANA CCM TAWI LA KISIWANDUI. - RAHA ZA PWANI

Habari za Hivi Punde

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Thursday, January 17, 2013

DK.SHEIN AKUTANA NA WANA CCM TAWI LA KISIWANDUI.

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akisisitiza jambowakati akizungumza na  Viongozi wa Tawi la CCM Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui, wakiwemo Viongozi wa  Jumuiya mbali mbali za Chama  hicho katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar jana, Makamo  Mwenyekiti alifanya ziara maalum ya kusalimiana na Viongozi hao ikiwa  ni pamoja na  kuimarisha Chama cha Mapinduzi, (CCM) kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na wana CCM wa Kisiwandui.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here