KOMBE LA MAJIMBO LAZINDULIWA ZANZIBAR. - RAHA ZA PWANI
Responsive Ads Here

Post Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, January 15, 2013

KOMBE LA MAJIMBO LAZINDULIWA ZANZIBAR.

Responsive Ads Here
DSC_0503
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai, akisalimiana na Wachezaji wa Timu ya Jimbo la Kikwajuni  wakati ufunguzi wa mashindano ya Majimbo ya CCM Wilaya ya Mjini, timu hiyo ilipocheza na Timu ya Mji Mkongwe, katika mchezo huo Mji Mkongwe waliwacharaza kikwajuni 1-0.
DSC_0529
Mchezaji wa Timu ya Mji Mkongwe khalfani Jabu, (kulia) akijaribu kumtoka Jaku Mohamed  wa Ti mu ya Jimbo la Kikwajuni, katika mshindano ya majimbo mchezo uliochezwa katika Uwanjawa Mao Dzedong  jana, katika mchezo huo Mji Mkongwe ilitoka kifua mbele kwa 1-0, Picha na Mwarabu Mmadi.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad