MAKAMANDA WA JESHI ZANZIBAR WAFANYA HAFLA YA KUJIPINGEZA BAADA YA GWARIDE ZITO LA SHEREHE ZA MIAKA 49 YA MAPINDUZI. - RAHA ZA PWANI

Habari za Hivi Punde

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Tuesday, January 15, 2013

MAKAMANDA WA JESHI ZANZIBAR WAFANYA HAFLA YA KUJIPINGEZA BAADA YA GWARIDE ZITO LA SHEREHE ZA MIAKA 49 YA MAPINDUZI.

Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Suleiman Iddi (kushoto) akimtunza msanii wa taarabu Maryam Juma wakati akiimba wimbo wa  kusifu mapinduzi ya Zanzibar kutimizaa miaka 49 kwenye tafrija ya kupongezana na makamanda wa jeshi baada ya kumaliza gwaride la shereh hizo Januari 12 mwaka huu.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mh. Mohd Aboud Mohd (kushoto) akijumuika naKikundi cha Utamaduni cha Diamond Modern cha JKU kwenye tafrija ya makamanda kupongezana baada ya kumaliza gwaride uwanja wa amani.
Mwenyekiti Wa Kamati ya Sherehe na Maadhimisho ya Kitaifa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiwapongeza makamanda wa vikosi vilivyoshiriki sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar mwaka huu mjini Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here