MKUTANO WA SABA WA BARAZA LA BIASHARA ZANZIBAR (ZBC) WAFUNGULIWA. - RAHA ZA PWANI

Habari za Hivi Punde

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Saturday, January 19, 2013

MKUTANO WA SABA WA BARAZA LA BIASHARA ZANZIBAR (ZBC) WAFUNGULIWA.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, (katikati) akifuatana na  Waziri wa Biashara, Viwanda na Masoko, Nassor Ahmed Mazrui, (katikati) na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Juliun Raphael, alipowasili katika Viwanja vya  Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja, kuufungua Mkutano wa Saba (7) wa Baraza la Biashara la Zanzibar ZBC, uliofanyika leo.
Wajumbe wa Mkutano wa Saba wa Baraza la Biashara la Zanzibar, kutoka Taasisi na Makampuni mbali mbali, wakifuatilia kwa makini taarifa na mada zilizotolewa katika mkutano huo, uliofanyika leo katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel, Mjini Unguja.
Baadhi ya watendaji wa Taasisi mbali mbali wakifuatilia kwa makini agenda za mkutano wa Saba  ( 7)  wa Baraza la Biashara la Zanzibar ZBC uliofanyika leo katika Ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja.
Wadau wa Mkutano wa Saba  (7) wa Baraza la Biashara ZBC  wakiwa  katika Mkutano  Uliofanyika  kwa kujadili masuala mbalimbali ya kukuza Uchumi wa Taifa ,Mkutano huo ulifanyika leo katika Ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja. Picha na Ramadhan Othman

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here