Naibu
Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Silima akikata utepe
kuzindua rasmi jukumu la kuwasafirisha Mahabusu kutoka Gerezani kwenda
Mahakamani na kurudi Gerezani kwa Mkoa wa Pwani.
|
Sehemu
ya magari 10 ya kuwasafirisha Mahabusu yaliyozinduliwa na Naibu Waziri wa
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Silima katika hafla iliyofanyika
Gereza la Mahabusu Ubena mkoani Pwani.
|
![]() |
Sehemu
ya magari 10 ya kuwasafirisha Mahabusu yaliyozinduliwa na Naibu Waziri wa
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Silima katika hafla iliyofanyika
Gereza la Mahabusu Ubena mkoani Pwani.
|
Naibu
Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Silima akiwa ndani ya moja
ya Basi la kuwasafirishia Mahabusu kutoka Gerezani kwenda Mahakamani na kurudi
Gerezani mkoani Pwani.
|
No comments:
Post a Comment