TASAF AWAMU YA TATU YAPIGA HODI ZANZIBAR. - RAHA ZA PWANI

Habari za Hivi Punde

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Monday, January 21, 2013

TASAF AWAMU YA TATU YAPIGA HODI ZANZIBAR.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na Uongozi wa Juu wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii Tanzania Tasaf ofisini kwake Vuga Mjini Zanzibar. Ujumbe huo na maku walijadili awamu ya tatu ya Tasaf ambayo inalenga zaidi kwenye miradi ya elimu maji safi na afya.
Ujumbe wa Tasaf Taifa kutoka Makao Makuu jijini Da es salaamu ukiongozwa na Mkurugenzi wake Bwana Ladislaus Mwamanga, ukizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi ofisini kwake Vuga Mjini Zanzibar.
Majadiliano yalijikita zaidi kwenye awamu ya tatu ya mradi huo huku wakisifu mafanikio ya awamu mbili zilizopita kwa mradi huo. Picha na Othman Khamis Ame

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here