JK AWASILI DODOMA TAYARI KUONGOZA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU. - RAHA ZA PWANI
Responsive Ads Here

Post Top Ad

Post Top Ad

Saturday, February 9, 2013

JK AWASILI DODOMA TAYARI KUONGOZA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU.

Responsive Ads Here
8E9U7527
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Katibu Mkuu wa  CCM  Ndugu  Abdulrahman Kinana muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa mjini Dodoma ambapo ataongoza kikao cha Halmashauri kuu ya CCM taifa.
8E9U7560
Vijana wa CCM wakimvika skafu Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho kikwete muda mfupi baada ya kuwasili mjini Dodoma kongoza kukao cha Halmashauri kuu ya CCM taifa.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad