| Bondia Maneno Osward akijifua kwa ajili ya mpambano wake wa ubingwa dhidi ya Japhert Kaseba March 2 katika ukumbi wa DDC Magomeni Kondoa Dar es salaam. |
| Mabondia Maneno Osward kushoto na Japhert Kaseba walipokutana kwa ajili ya kuzungumzia mpambano wao utakaofanyika March 2 kwenye ukumbi wa DDC Magomeni Kondoa Dar es salaam |

No comments:
Post a Comment