|
Mkuu
wa Jeshi la Magereza, Kamishna Jeneral John Minja (kushoto) akimkabidhi zawadi
maalum ya kiti Rais Mwai Kibaki wa Kenya.
|
|
Rais
Mwai Kibaki (watano kushoto) akiwafurahia Askari Magereza
na ofisa kutoka nchini Kenya wakiwa wamekaa kwenye kiti cha wapendanao
kilichotengenezwa na wafungwa kiwandani humo.
|

No comments:
Post a Comment