NIGERIA ATWAA UBINGWA AFCON 2013. - RAHA ZA PWANI
Responsive Ads Here

Post Top Ad

Post Top Ad

Sunday, February 10, 2013

NIGERIA ATWAA UBINGWA AFCON 2013.

Responsive Ads Here
afcon-cup
Wachezaji wa timu ya Taifa ya Nigeria the Super Eagles wakishangilia na kombe lao la AFCON baada ya kuwaondoa wapinzani wao Bokinafaso kwa goli moja kweenye mechi ya fainali iliyochezwa muda mfupi uliopita nchini Afrika Kusini.
article-2276575-177B9049000005DC-380_632x379
Wachezaji wa Nigeria wakishangilia mara baada ya kipenga cha mwisho kwenye mchezo wa Fainali ya AFCON nchini Afrika ya kusini iliyomalizika hivi punde, kushoto ni mshambuliaji wa Bokinafaso akiwa ameshika kiuno.
_65811283_65811282
Goli la Nigeria lilivyo zamishwa kimiani.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad