Waziri akihutubia wadau wa nishati.
|
Wadau waliojitokeza kwenye kongamano hilo wakifuatilia kwa makini
hotuba ya waziri wa Nishati na Madini Prof.Sospeter Muhongo.
|
Wadau waliojitokeza kwenye kongamano hilo wakifuatilia kwa makini hotuba ya waziri wa Nishati na Madini Prof.Sospeter Muhongo. |
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Eliakim Maswi
akitoa ahadi ya kutekeleza mipango iliyopo kama atashindwa atawajibika kabla ya
kuwajibishwa.
|
Wadau
waliojitokeza kwenye kongamano hilo wakifuatilia kwa makini hotuba ya waziri wa
Nishati na Madini Prof.Sospeter Muhongo.
|
Mmoja wa wadau wa nishati ya Umeme akiuliza maswali kwenye
kongamano hilo.
|
No comments:
Post a Comment