WAZIRI WA ULINZI WA ZAMANI ALIVYO HENYESHWA NA JESHI LA POLISI TZ. - RAHA ZA PWANI
Responsive Ads Here

Post Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, August 25, 2015

WAZIRI WA ULINZI WA ZAMANI ALIVYO HENYESHWA NA JESHI LA POLISI TZ.

Responsive Ads Here
IMG_5244
Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Laurence Masha, akishuka kwenye gari la Polisi kwenye viwanja vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo, ambapo alisomeswa mashtaka mawili ya kufanya vurugu kwenye kituo cha polisi cha Oyster bayjuzi jioni, alipokwenda kuwachukulia dhamana vijana wanadaiwa kufanya mkusanyiko usio wa halali eneo la Kinondoni.
DSC_0491
Vijana waliodaiwa kufanya mkusanyiko haramu wakihesabiwa kabla ya kwenda kusimama kizimbani kwenye Mahakama ya hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo.
DSC_0492
Duru za raha za pwani zilibaini kuwa vijana hao huendesha harakati za kumuunga mkono mgombea wa urais kupitia Chadema, ambao walikuwa wakimuunga mkono kabla hajahama na baada ya kuhama. Jina maarufu wanalotumia vijana hao ni 4U Movement.
DSC_0503
Laurence Masha akipelekwa kupanda kizimba kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo.
DSC_0504

DSC_0505

IMG_5214

IMG_5215
Safari ni safari safari moja huanzisha nyingine.


No comments:

Post a Comment

Post Top Ad