MGAMBO WAENDELEZA UBABE KARIAKOO, Wamachinga walia na Serikali. Vitu vyao wanyang'anywa. - RAHA ZA PWANI

Habari za Hivi Punde

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Tuesday, May 29, 2012

MGAMBO WAENDELEZA UBABE KARIAKOO, Wamachinga walia na Serikali. Vitu vyao wanyang'anywa.

 KATIKA kile kinachoonekana ni kusafisha jiji kwa kuwaondoa wafanya biashara ndogondogo maarufu kama wamachinga kuendelezwa kwenye eneo la Kariakoo leo limewakumba wamachinga wa eneo la Faya ambao siku zote operesheni hiyo ilikua haifakii.


Kamera ya Raha za Pwani ilikuta tukio hilo likiendelea huku wafanyabishara hao wakishuhudia na bila ubishi waliziachia bidhaahizo zikichukuliwa na mgambo hao wa Manispaa ya Ilala.


Kwa upande mwengine baadhi ya wafanyabiashara hao hawakuweza kuvumilia kuziachia bidhaa hizo na kuamua kupanda gari la mgambo hao ilikwenda kuzikomboa bidhaa hizo kwa kulipia faini.
 Mgambo wa Manispaa ya Ilala wakibeba bidhaa za wamachinga na kuzipakia kwenye garfi lao eneo la Faya jijini Dar es Salaam leo.
 Huku wenyewe wakishuhudia mali zao zikiondoka.
 Wakipakia deli la vinywaji vinavyouzwa na wamachinga barabarani eneo la Faya.
 Hadi meza za pipi nazo zilibebwa.
Meza zingine zilivunjwa.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here