Mwanafunzi wa kidato cha pili Shule ya Sekondari ya Lord Baden ya Bagamoyo inayomilikiwa na Kanali Mstaafu Iddi Kipingu Julius Charles (19) (kushoto) akiwa kwenye mazoezi ya mchezo wa basket ball alipohudhuria kliniki ya watoto inayofanyika kwenye viwanja vya Don Bosco jijini Dar es Salaam, kulia ni Mtanzania Hashim Thabiti anaecheza Mcezo huo nchini Marekani, ambaye yupo nchini kuendesha kliniki hiyo ambayo kilele chake hapo kesho. Mchezaji huyo amekua kivutio kwa mashabiki mbalimbali wanaojitokeza kwenye kliniki hiyo, kutokana na maoni ya wadau wa mchezo huo kama kijana huyo ataendelea kucheza mchezo huo anaweza kuwa ndiye mchezaji mrefu zaidi kwa tanzania kwasababu umri wake bado ni mdogo.
Hashim Thabiti akionyesha fano wa urushaji na udakaji wa mipira kwenye mchzo huo.
Hapa anafundisha namna ya kufunga magoli.
Julius Charles kinda wa miaka 19 akijifua kurusha mipira kwenye mafunzo hayo.
Mbinu za kufunga.

No comments:
Post a Comment