WANAHABARI WAPATA MAFUNZO KUHUSU SENSA YA IDADI YA WATU NA MAKAZI. - RAHA ZA PWANI

Habari za Hivi Punde

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Saturday, June 2, 2012

WANAHABARI WAPATA MAFUNZO KUHUSU SENSA YA IDADI YA WATU NA MAKAZI.

Kamishna wa Sensa nchini  Bi, Hajjat Amina  Mrisho (kushoto) akielezea namna walivyojipanga kushirikiana na vyombo vya habari katika mkutano huo ambapo alisema kuwa wametenga kiasi cha Bilioni 141.5 kwa ajili ya kuhakikisha kuwa swala hilo linakamilika ipasavyo. kulia ni Mkurugenzi wa operesheni ya Takwimu Bi,  Radegunda Maro.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya The Guardian Bw, Kiondo Mshana wa kwanza kushoto pamoja na wakurugenzi wengine  wakisikiliza kwa makini mjadala huo.
 
Baadhi ya wamiliki mbalimbali wa vyombo vya habari waliohudhuria katika mkutano huo.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here