KAMA KAWAIDA VITUKO VYAENDELEA DAR. - RAHA ZA PWANI

Habari za Hivi Punde

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Saturday, June 2, 2012

KAMA KAWAIDA VITUKO VYAENDELEA DAR.

Askari Mgambo wa jijini Dar es Salaam wakiwafukuza wamachinga wanaofanya bihashara katika maeneo yasiyoruhusiwa pembezoni mwa barabara ya Uhuru Maeneo ya Karume jijini Dar esSalaam.
Kituo cha mabasi kilichopo maeneo ya Karume jijini Dar es Salaam kikiwa kimeanguka kutokana na uchakavu huku maji taka yakiwa ni kero kwa abiria wanaohitaji kusimama katika eneo hilo. Barabara hii inatumiwa sana na Viongozi wa Mbalimbali wa Serikali kwani ni njia moja wapo inayotumika kwenda katika ofisi za viongozi wa Serikali.
PICHA ZOTE NA PHILEMON SOLOMON.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here