Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein, akisalimiana na Seneta wa Marekani Christopher Coons, akiwa na
Ujumbe aliofuatana nao walipofika Ikulu Mjini Zanzibar kuzungumza
na Rais.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akizungumza na Seneta wa Marekani Christopher Coons,akiwa na
Ujumbe aliofuatana nao walipofika Ikulu Mjini Zanzibar.
Ujumbe mzima wa Seneta huyo ukifuatilia mazungumzo hayo.
PICHA ZOTE NA RAMADHANI OTHMA WA IKULU ZANZIBAR.
Ujumbe mzima wa Seneta huyo ukifuatilia mazungumzo hayo.
PICHA ZOTE NA RAMADHANI OTHMA WA IKULU ZANZIBAR.
No comments:
Post a Comment