Makamu Mwenyekiti wa kamati ya bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) Iddi Azzan, akizungumza na waandishi wa habari kuhusu kuzitimua halmashauri za Wialaya ya Rufiji na Mafia kutokana na hesabu zake kutokuwepo kwenye mpangilio nzuri na kuchelewa kuziwasilisha kwa kamati, hata hivyo kamati hiyo imewapa wiki mbili za kwenda kuweka vizuri hesabu zake ilizipitiwe.
Wajumbe wa kmati ya bunge ya LAAC wakifuatilia mjadala wa kuzitimua Halmashauri za Wialaya ya Rufiji na Mafia kutokana na hesabu zake kutokuwepo kwenye mpangilio nzuri na kuchelewa kuziwasilisha kwa kamati, hata hivyo kamati hiyo imewapa wiki mbili za kwenda kuweka vizuri hesabu zake ilizipitiwe.

No comments:
Post a Comment