Hali ya uchafuzi wa
mazingira inatisha, wahusika
wachukue hatua.
Mitaro yakupitisha maji taka eneo la Mbagala Rangi tatu jijini Dar es Salaam ikiwa imejazwa takataka bila hata ya kufanyiwa usafi na kuhatarisha usalama wa afya za watu wanafanyabiashara na abiria wanaopandia daladala kwenye eneo hilo. |
Waendesha bodaboda nao wanafanya kama sehemu ya kupaki bodaboda zao huku wakiziangalia tu taka hizo bila hata ya kuchukua hatua yoyote. |