Mussa Sunga na King Class (Mawe) mazoezini.
Mabondia
Ibrahimu Class 'King Class Mawe' (kushoto) na Musa Sunga wakioneshana ufundi wa
kutupa makonde wakati wa mazoezi yanayoendelea katika kambi ya Ilala
wakisimamiwa na Kocha wa mchezo uho Kimataifa Rajabu Mhamila 'Super D' jana
Class anajiandaa kupambana na Sako Mwaisege ' Dunga' siku ya Idi pili katika
Ukumbi wa Diambond Jublee na Sunga anajiandaa kupambana na Mussa Seif 'Boda
boda' katika Uwanja wa Bandari Tandika Dar es salaa. Picha na Rajabu Mhamila.
|