Aenda Kigali kuhudhuria mkutano wa wanahabari. Dereva wake ashonwa anaendelea vizuri hospitali.
Naibu waziri wa Afrika Mashariki Mbunge wa Rahaleo Abdalla Juma Abdalla, akizungumza na mwandishi wa Shirika la Habari la Zazibar (ZBC) Msangu Saidi mijini Kibaha leo asubuhi kabla hajaondoka kwenda nchini Kigali kuhudhuria mkutano wa wanahabari wa Afrika mashariki, ambapo alieleza kuwa afya yake pamoja na za jamaa wengine waliokuwemo kwenye ajali hiyo zipo imara isipokua Dereva ndio anaendelea na matibabu. |
Akizungumza mbele ya gari lililopata ajali hiyo. |