Okwi mchezaji bora wa mwaka
wa Simba, apewa tuzo yake ashangilia
na mashabiki.
Mshambuliaji wa Simba Emmanuel Okwi akionyesha tuzo yake aliyozawadiawa na klabu ya Simba baada ya kuwa mchezaji bora wa mwaka wa klabu hiyo kwenye tamasha la siku ya simba linalofanyika kila mwaka. |
Mashabiki nao walinogesha kwa kumuongezea zwadi ya jezi iliyopewa jina la Okwi Hakunaga. |