TAMASHA LA SIKU YA SIMBA: - RAHA ZA PWANI

Habari za Hivi Punde

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Wednesday, August 8, 2012

TAMASHA LA SIKU YA SIMBA:


 Simba yafanikisha tamasha.Yatambulisha wachezaji wake kwa wanachama ka kuwachezesha. Wafungwa 3-1.
Mashabiki roho kwatu.

Kikosi cha kwanza cha timu ya simba ambacho hadi kinatoka uwanjani kipindi cha kwanza kilifurahisha mashabiki wake hasa kutokana na kuwa na pasi za uhakika kiasi baadhi ya watu kusema timu wanayochezanayo haipo ligi kuu huko Kenya, kabla kikosi hicho hakijaondolewa uwanjani na kuingizwa kikosi kingine.





Hapa Uhuru Selemani akijaribu kupiga krosi.
Mashabiki wa simba wakitoa ujumbe wao kwa njia ya bango.
Mwanachama wa simba mwenye kadi nambari 3 Dk.Philemon Sarungi (kulia) akitoa zawadi ya heshima kwa mchezaji wa zamani wa klabu hiyo ambaye aliweka historia ya kuifunga yanga magoli manne kwenye mechi moja Hamisi Kilomoni, katikati makamo wa rais wa simba Kaburu.
Jezi mpya nazo zilizinduliwa kwenye tamasha hilo, ambapo imeelezwa ndizo jezi zitakazotumika kwa wachezaji mashabiki na viongozi wa klabu hiyo.
Mrisho Ngasa akiwa kazini kuitumikia klabu yake mpya ya Simba.

Post Top Ad

Responsive Ads Here