BODI YA UDHAMINI PSPF YAFANYA ZIARA KWENYE MIRADI YA UWEKEZAJI. - RAHA ZA PWANI

Habari za Hivi Punde

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Wednesday, September 12, 2012

BODI YA UDHAMINI PSPF YAFANYA ZIARA KWENYE MIRADI YA UWEKEZAJI.

 Mshauri Muelekezi kutoka Chuo Kikuu cha Ardhi Dr. Huba Nguluma akitoa maelezo kuhusu mradi wa ujenzi unaoendelea wa Jengo la kitega uchumi la PSPF lililoko Sokoine Drive kwa Wajumbe wa Bodi ya Wadhamini ya PSPF.
Wajumbe wa Bodi ya Wadhamini ya PSPF wakiwa ziarani katika Mradi wa Nyumba za wanachama ulioko Chanika Buyuni Dar es Salaam. Mradi wa nyumba hizi una jumla ya nyumba 641 Dar es Salaam (491), Morogoro (25), Mtwara (50), Shinyanga (50) naTabora (25)

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here