
Wanaharakati wakiwa na mabango yenye ujumbe wa aina mbalimbali wakati wa mkutano wao na waandishi wa habari wakujadili uhuru wa habari na changamoto zake, kifo cha Daudi Mwangosi ambaye aliuawa na jeshi la polisi akiwa kazini Mkoani Iringa pamoja na suala la kufungiwa kwa gazeti la Mwanahalisi.
Baadhi ya waharakati na wanahabari wakifuatilia majadiliano hayo wakati wa mkutano huo.
Mhadhiri wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam, Ayubu Rioba, akizungumza kwenye mkutanoo huo.
Mwanasheria kutoka kituo cha sheria na haki za binadamu LHRC Harold Sungusia, akitoa mada kwenye mkutano huo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Raia na Ufuatiliaji wa Mwenendo wa Bunge (CPW) Marcossy Albanie akizungumza kwenye mkutano huo.
No comments:
Post a Comment