| Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein, akikabidhi Picha ya Rais wa Kwanza wa Zanzibar Mzee Abeid
Amani Karume,iliyochorwa na kuuzwa kwa shilingi za Kitanzania Milioni
moja na Laki tatu,kwa Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali
Zahra Ali Hamad, katika hafla ya kuchangia Fedha kwa Mfuko wa Watu
wenye Ulemavu Zanzibar,iliyofanyika katika ukumbi wa hoteli ya
Zanzibar Beach Resort nje ya Mji wa Unguja,(kushoto) ni Mwenyekiti wa
Mfuko huo pia Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Nassor Ahmed
Mazrui. |
No comments:
Post a Comment