KAZI YA UJENZI BARABARA YA KILWA INAENDELEA VIZURI. - RAHA ZA PWANI

Habari za Hivi Punde

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Saturday, September 29, 2012

KAZI YA UJENZI BARABARA YA KILWA INAENDELEA VIZURI.

Mafundi wakiendelea na ujenzi wa awamu ya pili kwa barabara ya kilwa jijini Dar es Salaam baada ya Wazirei wa ujenzi kuikataa barabara hiyo mwaka jana kutokana na kujengwa chini ya kiwango. Ujenzi wa barabara hiyo umekua ukiendelea vizuri na hapa ni eneo la mishen.
Suala la usalama mahala pakazi ni jambo muhimu kuzingatiwa.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here