WAKAANGA SAMAKI FELI WALIA NA MANISPAA YA ILALA. Ni kwakushindwa kutengeneza sokolao. - RAHA ZA PWANI

Habari za Hivi Punde

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Saturday, September 29, 2012

WAKAANGA SAMAKI FELI WALIA NA MANISPAA YA ILALA. Ni kwakushindwa kutengeneza sokolao.

Hali ya Soko la feli sehemu ya kukaangia samaki inazidi kua mbaya tangu lilipo ungua mwakajana limeshindwa kufanyiwa matengenezo kabisa, kutokana na hali hiyo sehemu ndogo ya soko iliyobaki wachuuzi hao hurundikana na kusababisha moshi mzito na kuhatarisha afya za watumiaji wa soko hilo.

Mazingira haya mabovu ya soko hili yanakua mabaya zaidi wakati wa mvua kwakua kazi zote husimama. Manisapaa ya Ilala kwa hili wanastahili kutupiwa lawama kwa kushindwa kabisa kufanya matengenezo kwa mwaka nzima.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here