RAIS KIKWETE AHUTUBIA WAWEKEZAJI JIJINI MASCAT OMAN. - RAHA ZA PWANI

Habari za Hivi Punde

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Tuesday, October 16, 2012

RAIS KIKWETE AHUTUBIA WAWEKEZAJI JIJINI MASCAT OMAN.

Rais Kikwete akisalimiana na baadhi ya wafanyabiashara wa Oman na Tanzania waliohudhuria Mkutano Maalum wa wawekezaji Tanzania uliofanyika jijini Mascat Oman usiku wa kuamkia leo. Mkutano huo wa wawekezaji ulihudhuriwa pia na Waziri wa Mambo ya nnje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Membe,Waziri wa Viwanda Biashara na Masoko Dk. Abdallah Kigoda, Waziri wa Kazi Ushirika na Uwezeshaji Kiuchumi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Haroun Ally Suleleiman, Naibu Waziri waFedha na Uchumi Janet Mbene na viongozi waandamizi mbalimbali wa serikali zote mbili.
 Rais Kikwete akiwahutubia wawekezaji hao kwenye mkutano uliofanyika jijini Mascat Oman.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here