JK AMJULIA HALI KATIBU WA MUFTI ALIYEMWAGIWA TINDIKALI . - RAHA ZA PWANI

Habari za Hivi Punde

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Wednesday, November 7, 2012

JK AMJULIA HALI KATIBU WA MUFTI ALIYEMWAGIWA TINDIKALI .

Rais Jakaya Kikwete akimjulia hali Katibu wa Mufti wa Zanzibar Sheikh Fadhili Soraga ambaye amelazwa kwenye Hospitali ya Taifa Muhimbili baada ya kudaiwa kumwagiwa Tindikali na watu wasiojulkana wakati akifanya mazoezi Mwanakwerekwe Zanzibar.
Akimuaga mara baada ya kumpa pole kwa tukio hilo alipomtembelea jana jioni.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here