OBAMA ALIVYOMMWAGA ROMNEY. - RAHA ZA PWANI

Habari za Hivi Punde

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Tuesday, November 6, 2012

OBAMA ALIVYOMMWAGA ROMNEY.

Wakati kura zinaendelea kuhesabiwa Rais Barak Obama (pichani katikati) amepata ushindi mkubwa baada ya kumzidi mpinzani wake Mitt Romney kwa kupata zaidi ya idadi ya kura za Electoral College 290 ambazo zaidi ya kura 270 zinatakiwa kupata mtu ili aweze kuwa rais wa Marekani.Hadi tunakwenda mitamboni Mitt Romney alikuwa na kura 203 na inawezekana Obama akapata kura zaidi ya hizo.

Barack Obama akipongezwa na Mkewake baada ya kushinda uchaguzi.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here