UJUMBE WA KAMPUNI YA MAFUTA NA GESI WAKUTANA NA MAKAMU WAPILI WA RAIS WA ZANZIBAR. - RAHA ZA PWANI

Habari za Hivi Punde

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Tuesday, November 6, 2012

UJUMBE WA KAMPUNI YA MAFUTA NA GESI WAKUTANA NA MAKAMU WAPILI WA RAIS WA ZANZIBAR.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akibadilishana mawazo na Ujumbe wa Kampuni ya Kimataifa ya Mafuta na Gesi wa Ras Al Khaimah nyumbani kwake Mjini Dodoma.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiwa kwenye picha ya pamoja na Ujumbe wa Kampuni ya Mafuta ya Ras Al Khaimah baada ya kuzungumza nao Mjini Dodoma.
Kushoto ya Balozi Seif ni Mshauri wa Mfalme wa Ras Al Khaimah Bwana Salem Ali ambaye ndie aliyeuongoza Ujumbe huo.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Mwakilishi wa Kampuni ya Kimataifa ya Mafuta na Gesi ya Nchini Ras Al Khaimah Bwana Kamal Ahaya, nyumbani kwake Mtaa wa Farahani Mjini Dodoma.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here