TANESCO WAFANYA OPERESHENI YA KUSHTUKIZA MCHIKICHINI JIJINI DAR ES SALAAM. - RAHA ZA PWANI

Habari za Hivi Punde

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Tuesday, November 6, 2012

TANESCO WAFANYA OPERESHENI YA KUSHTUKIZA MCHIKICHINI JIJINI DAR ES SALAAM.

Mafundi wa Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) wakikagua mita na kuchukua nambazake wakati wa zoezi la ukaguzi wa mita hizo eneo la Mchikichini jijini Dar es Salaam leo, ambapo wakazi wa eneo hilo zaidi ya 80% wanaiba umeme.
Moja ya Mafundi wa Shirika la Umeme Tanesco akikata waya za umeme kwenye eneo la mchikichini baada ya kugundua wizi wa umeme kwa wakazi wa eneo hilo.
Fundi wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO)akikagua mita ya luku eneo la Ilala mchikichini, wakatiwa wa zoezi la la kuwasaka wezi wa umeme lilifanywa na Mkoa wa Tanesco Ilala ambapo 80% ya wakazi wa eneo hilo wanaiba umeme.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here