KATIBU WA MUFT ZANZIBAR AMWAGIWA TINDIKALI. - RAHA ZA PWANI

Habari za Hivi Punde

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Tuesday, November 6, 2012

KATIBU WA MUFT ZANZIBAR AMWAGIWA TINDIKALI.

Katibu wa Mufti wa Zanzibar, Sheikh Fadhil Soraga akitolewa katika Chumba cha Huduma ya kwanza kwenye Hospitali ya Mnazi Mmoja baada ya kudaiwa kurushiwa Tindikali na watu wasiojulikana wakati akifanya mazoezi huko katika Kiwanja cha Mwanakwerekwe. Sheikh amepelekwa Dar es Salaam kwa matibabu zaidi.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here