Spika wa Bunge Mh.Anne Makinda
akimkaribisha Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Japan Mh.Hirotami Murakoshi,
kwenye Chakula cha jioni Dodoma Hoteli.Waziri Murakoshi yupo nchini kwa ziara
ya kikazi.
Katibu wa Bunge Dk. Thomas Kashililah
(kulia) akiwakaribisha na kuwafunda waajiriwa wapya 19, walioajiriwa hivi
karibuni kwenye ofisi ya Bunge.
No comments:
Post a Comment