MISS TANZANIA 2012 HUYU HAPA. - RAHA ZA PWANI

Habari za Hivi Punde

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Saturday, November 3, 2012

MISS TANZANIA 2012 HUYU HAPA.


Kutokana na uchambuzi na ufuatiliaji wa mashindano  ya mwaka huu ya Redds Miss Tanzania tangu hatua ya
 vitongoji Blog ya raha za Pwani inatangaza Mshindi wake kutokana na vigezo vyake ni Miss Kinondoni 2012 Brigit Alfred, Fainali za Shindano hilo linafanyika leo usiku tuendelee kusubiri  nani atakuwa mshindi kwa mujibu wa kamati ya Miss Tanzania.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here