Mpiga gita la Ridhim wa
msondo ngoma Zahoro Bangwe akizikung'uta nyuzi wakati wa onesho la bendi hiyo
lililofanyika jana usiku ukumbi wa Max Bar Ilala Bungoni
|
Waimbaji wa Bendi ya
Msondo Ngoma wakiimba kwenye burudani hiyo kutoka kushoto ni Eddo Sanga, Shabani
Dede na Juma Katundu lililofanyika jana.
|
No comments:
Post a Comment